Huduma Bora za Vipimo vya Maabara – Kwa Uchunguzi wa Afya Yako na Familia Yako

Tunajua unachotaka ni vipimo vya haraka, bila kusubiri siku nzima au kuhangaika na foleni. Ndiyo maana tunakupa huduma bora, kwa wakati, na kwa gharama nafuu.
WASILIANA NASI LEO


Tufahamu zaidi

Uchunguzi wa kina

Matokeo sahihi

Ushauri wa Tiba

Usumbufu wa Kusubiri Majibu ya Vipimo Unaweza Kuathiri Ratiba ya Siku Yako

Kuchelewa kupata vipimo kunamaanisha kutokupata matibabu sahihi na kwa wakati,maumivu yanaongezeka, wasiwasi unaongezeka, na shughuli zako za kila siku zinavurugika.

Wengine wanasema:
“nimechoka kwenda maabara na kurudi bila majibu ya vipimo” au
“sina muda wa kupoteza kwenye foleni ndefu kusubiri kupata vipimo.”
Sisi tunakuelewa, na tunajua afya yako haiwezi kusubiri.

Maabara ya Mwakeye Medical – Vipimo Haraka, Huduma Bora, Majibu kwa Wakati.

Hapa, wewe ndiye shujaa wa hadithi yako ya afya. Tunakuongoza kutoka kwenye wasiwasi wa kutokujua hali ya maumivu mwilini mwako hadi amani ya kupona, haraka na bila usumbufu. Timu yetu ya wataalamu wa maabara iko tayari kukuhudumia, na tunatoa garantii ya kuridhika: usiwe na shaka na huduma unayoipata, tunahakikisha unapata vipimo sahihi na ushauri wa matibabu bora kwa gharama nafuu.

Timu ya wataalamu – mwakeye medical center

Madaktari na wauguzi

Chagua kupata Vipimo vya Afya kutoka Maabara ya Mwakeye Medical

Vipimo Haraka Zaidi

Huna haja ya kusubiri siku nzima – tunahakikisha unapata vipimo na majibu yako ndani ya muda mfupi.

Huduma Bora na ya Kipekee

Kila mgonjwa anapewa umakini wa kipekee na uchunguzi wa kina.

Amani na Utulivu wa Akili

Unaondoka ukiwa na uhakika wa mpango wa matibabu sahihi na msaada wa karibu.

Wanasema Kuhusu Maabara ya Mwakeye Medical

Nilifika nikiwa na maumivu makali, lakini ndani ya dakika 15 nilikuwa nimepata vipimo na majibu yangu na kupata ushauri wa dawa zitakazo weza kunisaidia. Huduma bora kabisa.- Amina M

Sikuwahi kufikiria kuna sehemu unaweza kupata huduma haraka hivi bila gharama kubwa. Maabara ya Mwakeye Medical mmebadilisha mtazamo wangu.- Stive K

Walinipokea kwa upendo, wakasikiliza tatizo langu, na kunipa suluhisho la vipimo haraka. Nilihisi kama mtu muhimu.- Neema L

Usisubiri Hadi Dalili Ziwe Mbaya Zaidi

Afya yako haiwezi kungoja. Wasiliana nasi sasa na urudi kwenye maisha yako ya kawaida.

Tunapatikana

Nyumba 159, mtaa wa katesh, kata ya katesh stand, wilaya ya Hanang’

Barua pepe

info@mwakeyemedical.or.tz

Namba za Simu

0784615498
0754673402

Saa za Kazi

Jumatatu-Alhamisi : Masaa yote 24
Ijumaa: Mwisho saa Kumi na mbili (12) Jioni.
Jumamosi:Tunafungua saa Kumi na mbili (12) Jioni.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.
Loading

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Gharama za vipimo vya maabara ya Mwakeye Medical zikoje?


Maabara ya Mwakeye Medical tunatoa huduma bora ya vipimo kwa bei nafuu, na tunakupa maelezo kamili kuhusu tiba mara baada ya kupata majibu yako ya vipimo.

Hapana, lakini unapoweka miadi unahakikishiwa huduma haraka bila kusubiri foleni.

Ndio, tunatoa huduma kila siku kwa masaa 24,Isipokuwa siku ya ijumaa tunawahikufunga saa kumi na mbili jioni hadi siku ya jumamosi saa kumi na mbili jioni ndio tunafungua.

Maabara ya Mwakeye Medical tunatoa huduma bora ya vipimo kwa bei nafuu, na tunakupa maelezo kamili kuhusu tiba mara baada ya kupata majibu yako ya vipimo.

Hapana, lakini unapoweka miadi unahakikishiwa huduma haraka bila kusubiri foleni.

Ndio, tunatoa huduma kila siku kwa masaa 24,Isipokuwa siku ya ijumaa tunawahikufunga saa kumi na mbili jioni hadi siku ya jumamosi saa kumi na mbili jioni ndio tunafungua.