Kuhusu Mwakeye Medical

Mwakeye Medical, tunaamini kila mtu anastahili huduma bora ya afya bila kuchelewa na bila usumbufu. Tunaelewa kuwa unapohitaji matibabu, unahitaji daktari anayekusikiliza, kukuheshimu, na kukupa suluhisho sahihi haraka.

Safari Yetu

George Jordan,MD

Mwakeye Medical ilianzishwa kwa dhamira moja: kuondoa kero ya kusubiri foleni ndefu na kupata huduma za kiwango cha juu, hasa kwa wakazi wa Katesh – wilaya ya Hanang’. Tuliona jinsi watu wanavyopoteza muda na amani na utulivu wa akili wakisubiri matibabu, na tukasema: Lazima kuwe na njia bora zaidi.

managing director mwakeye medical

Kinachotofautisha Mwakeye Medical

Huduma Haraka

Hakuna kusubiri siku nzima, tunakupokea na kukuhudumia ndani ya muda mfupi.

Ubora wa Matibabu

Timu yetu inafuata viwango vya juu vya kitaalamu na inaendelea kujifunza ili kutoa tiba bora zaidi.

Garantii ya Kuridhika

,Afya yako ni kipaumbele chetu,timu yetu inajitahidi kwa hali yoyote kuhakikisha unapata huduma bora itakayo kuridhisha.

Timu Ya Mwakeye Medical

Tuna timu yenye uzoefu wa wahudumu wa afya waliothibitishwa kitaaluma na wenye moyo wa huduma. Kila mmoja amejitolea kuhakikisha unahisi salama, unasikilizwa, na unapokea huduma inayokufaa.

Eugene Grand

Partner

George Jordan

Partner

Mike Clarks

Partner

Vanesa Williams

Partner

Teo Calias

Partner

Maono Yetu

Kuwa kituo kinachoaminika zaidi kwa huduma bora za afya haraka kwa wakazi wa Katesh na maeneo ya jirani.

Dhamira Yetu

Kukupa huduma bora, haraka, na kwa heshima – ili uweze kurudi kwenye maisha yako ya kawaida ukiwa na afya njema na amani na utulivu wa akili.

Latest News

Maecenas interdum lorem eleifend orci aliquam mollis. Aliquam non rhoncus magna aliquet tincidunt enimut commodo feugiat aecenas.

Usisubiri Hadi Dalili Ziwe Mbaya Zaidi

Afya yako haiwezi kungoja. Wasiliana nasi sasa na urudi kwenye maisha yako ya kawaida.

Tunapatikana

Nyumba 159, mtaa wa katesh, kata ya katesh stand, wilaya ya Hanang’

Barua pepe

info@mwakeyemedical.or.tz

Namba za Simu

0784615498
0754673402

Saa za Kazi

Jumatatu-Alhamisi : Masaa yote 24
Ijumaa: Mwisho saa Kumi na mbili (12) Jioni.
Jumamosi:Tunafungua saa Kumi na mbili (12) Jioni.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.
Loading